Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, 9 October 2011

Nyerere Day 2011 in Washington DC.


Mmoja wa waasisi wa Julius Nyerere Comemoration akielezea maandalizi ya sherehe za kuenzi maisha na kazi za Mwl Julius K. Nyerere kwa mwaka 2011.

Maadhimisho ya nne ya kuenzi maisha na kazi za Mwl Julius K. Nyerere yatafanyika Oktoba 15, 2011 hapa Washington DC.
Mmoja wa waasisi wa Julius Nyerere Comemoration Bwn Rick Tingling akielezea maandalizi ya siku hiyo katika video hapo juu.

Itafanyika
Howard University Basement Auditorium
725, 2225 Georgia Ave, NW, Washington, DC 20059
FROM 3PM-6PMMAELEKEZO KUELEKEA Howard University Hospital Basement Auditorium:
Ingilia mlango wa mbele wa Hospitali unaotazamana na Georgia Avenue.
Pita kwenye dawati la maelezo kwa utambulisho
Endelea mbele mpaka kwenye "lift" zilizo kama yadi 50 toka dawati la mapokezi.

Chukua "lift" / elevator kuelekea sakafu ya chini (basement).
Elekea upande wa kulia ukifuata alama zinazoelekeza ulipo ukumbi.
AMBATANISHO: MAELEZO KUHUSU MAADHIMISHO HAYO.

NOTE: Mabadiliko pekee niliyojulishwa ni kuwa Balozi Mwanaidi Maajar hataweza kuhudhuria kwa kuwa atakuwa nje ya mji.


BARAKA KWAKO NA ASANTE KWA USHIRIKIANO.