Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 20 October 2011

NIMELIMISS JUA,HIZI NI BAADHI YA PICHA AMBAZO NILPIGA WAKATI WA SUMMERTIME 2011!

Baridi limeanza sasa,...leo nimekaa nikajikuta nimekumbuka hali ya hewa ya joto...Baridi la hapa ni tofauti na lile la Arusha au Iringa la hapa linakufanya unakuwa mnyongeee,yaani full stress.Na hata kutoka asubuhi unajifikiria kwanza.
 Ningetamani hali ya hewa hii ingekuwepo siku zote,nikakaa kibarazani kwangu nakuota jua.Lakini sasa hata kufungua mlango najifikiria kwanza lol...
 I remember the good time i had here...
 Kajua kalikuwa kawastani si joto sana kama la BONGO.

Sasa hivi mwendo ni majacket tuu,tena jacket lenywewe ni zito kama nini.Mtu aliyekuona wakati wa Summer akikona sasa anaweza fikiri umenenepa kumbe ni ukubwa wa jacket tu.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Yaani Edna! we acha acha tu maisha haya..Ila mdada umetoka chicha. Ila hiyo picha ya mwisho mpaka umenifanya nianze kutafuta jacket langu pia viatu kaaazi kwelikweli...tupo pamoja.

EDNA said...

Asante mdada,Yaani anza mapema kuyapekua huko ulikoyaficha maana hii baridi balaa.

Swahili na Waswahili said...

Pendeza sana mwanakwetu,haya mwendo wa makoti sasa.

absolutelyawesomethings said...

Nilifikiri ni mimi tu nalalamika baridi! Msijali ngoja tuianze tuimalize ije summer tena.Msisahau kupamba rangi za kuwaka ndani na tafuta Light box inapunguza winter blues.Edna umependezaaa!

EDNA said...

Asante sana Da Sophie kwa kupita.
Rachael asante mdada.