Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 15 November 2011

ATI MTU MWEUSI UWEZO WAKE WA KUFIKIRI NI MDOGO?HAKUNA TULICHOVUMBUA AU KUTENGENEZA NA KAMA KIPO BASI MZUNGU ALISAIDIA KUFANIKISHA?


I ran across this video accidentally and i was shocked to hear what this preacher is saying about black folks and i found it very offensive against black people, this guy needs to sit down and really read a book on black history, check it out for yourself...

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! unasikiliza mpaka mchozi unadondoka bila kupenda ...napata hisia kama yeye ni mbaguzi vile...

Goodman Manyanya Phiri said...

Mimi amenikosha mchungaji huyu. Mahubiri yake pumba tu tena ya kuchekesha kabisa, lakini cheche moja ipo anaposema Mswahili naye ajirudi na arejee kwa Mungu.

Hapo ninaye kabsa na nahisi ndipo ujumbe wake (kumrejea Mungu) ulipolenga badala ya historia ya Mswahili (ambapo hajui lolote yule ikiwa hata maandishi yaligunduliwa na Waswahili hapa-hapa Afrika (Kusini) kabla ya Misri, Mesopotamia au Ulaya miaka zaidi ya 6000 iliepita!