Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 17 November 2011

MKASI.


Kipindi kipya kinachoitwa MKASI kinafanyika kwenye masaloon mbalimbali Bongo. kinarushwa East Africa TV,kikiongozwa na Salama Jabir,
Mgeni kwa siku hiyo alikuwa Irene Owoya.
Tazama video hapo juu.

7 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Basi wengi wataliwa na mkasi tu! Subiri na utaona! (Ila mie sipati VOLUME na sijui kwa nini)

EDNA said...

Kaka Manyanya umenickesha" Basi wengi wataliwa na mkasi tu" Na kweli wacha tusubiri tuone watu wakiliwa na mkasi.Pole na tatizo la volume.

Swahili na Waswahili said...

Dunia ya Utandawazi,Asante da'Edna

Goodman Manyanya Phiri said...

Asante!

SIMON KITURURU said...

Uchokozi kidogo:


Ila si enzi za MANGWAIR na wimbo wake ule wa MIKASI -neno MKASi maana yake ni tofauti kidogo na hii?

EDNA said...

Simon hahaaa mikasi ya hapa naona ni tofauti na ile ya Mangwea.

emu-three said...

Acha watu wanyolewe, humo humo ...tutaona mengi!