Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 24 November 2011

BABU UKO WAPI?

Waswahili husema kivumacho sana huwa hakidumu,miezi kadhaa iliyopita habari tulizokuwa tukizisoma na kusikia zilikuwa zikimhusu BABU wa loliondo.Babu alijipatia umaarufu wa ghafla kutokana na kile kilichodaiwa kuwa alikuwa na uwezo wa kuponya magonjwa Sugu...Kwa sasa umaarufu wake umefifia kama sikupotea kabisa.
BABU VIPI TENA MBONA KIMYA?

3 comments:

Anonymous said...

ujio wake ulikuwa na lengo moja tu: kuponya. watu walikwenda loliondo kutibiwa na umaarufu wake ni kiashiria kuwa watu wengi walikuwa wagonjwa. SASA WAMEPONA. asiye mgonjwa haitaji tiba. sasa waende loliondo kufanya nini tena ilhali wameshapona? pia wapo waliopoteza maisha kutokana na kuwa wagonjwa sana na wengine kukiuka masharti.

john mwaipopo

Swahili na Waswahili said...

Babu anahesabu Noti sasa da'Edna mwache apumzike kwa kazi nzito!

Profee said...

Mmmmmmmmmh,haya bwana ila!