Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 24 November 2011

HONGERA PROFESA JAY.(JOSEPH HAULE)

 Mjengo mpya wa mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Profesa Jay.
 hongera sana kwa hatua uliyofikia..
 Inapendeza eeeh!
  Nyumba iko MBEZI ya KIMARA jijini DAR ES SALAAM .
Profesa JAY alihamia rasmi kwenye hii nyumba siku ya  sikukuu ya IDD MOSI mwaka huu na anasema kitu pekee kikubwa kinachokosekana kwenye nyumba yake  ni MKE....Asilimia mia moja ya hii nyumba imejengwa kwa pesa zilizotokana NA shughuli zake za muziki.

PROFESA JAY NA UWE MFANO WA KUIGWA KWA WASANII WENGINE.
HONGERA SANAAAAA.
Picha kwa hisani ya millad Ayo.com

3 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Hongera sana!!

Anonymous said...

siamini kama hiyo nyumba ni profesa jay joseph haule

Anonymous said...

nyumba inaweza ikawa ni yake lakini asitudanganye kwamba asilimia mia kaijenga kwa kipato kutoka kwenye ishu za muziki wakati tunatambua mapato yake mengi ya muziki waliyapata ruge na kusaga