Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 21 November 2011

DUKA LA DAWA.

Dawa zinazouzwa hapo mimi sijui kama ni za binadamu au wanyama...cha muhimu watu wanatimiziwa mahitaji yao.Si ndio wajameni?

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Haswaaaa.. halafu wamejitahidi wenyewe wamepaka rangi...

Goodman Manyanya Phiri said...

"Wataka ngoma? Au Wataka mlio?"

SIMON KITURURU said...

Hapo mambo yote poa mpaka huduma za soksi kwa wazinzi zipo tu hapo!