Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 31 December 2011

HAPPY NEW YEAR 2012 TO ALL MY READERS...AND ENJOY MY NEW YEAR`S EVE PICS.

MUNGU NA AWABARIKI WOTE NA MFANIKIWE KWA LOLOTE LILE AMBALO MNATAMANI MIOYONI MWENI.

7 comments:

chib said...

Nawe pia!

Goodman Manyanya Phiri said...

Sasa nia yako nini? Kututia kichaa?

Umependeza sana!

Ubarikiwe sana mwaka mpya!

Afya!

Amani!

na Baraka popote unapogusa... your golden and very Midas touch, Girl!

EDNA said...

Asante kaka Chib na Kaka Manyanya nawatakia kila lililo la kheri.

Swahili na Waswahili said...

Nawe pia da'Edna yaani Unosile!!mimi penda wewe sana,salimia shemeji!

Candy1 said...

Happy New Year to you too!!!

PS: Love your dress! :-)

EDNA said...

Asante da Rachael na Candy1

Yasinta Ngonyani said...

Nina hakika sijachelewa ..nilikuwa sipo hewani tangu ijumaa..duh ilitaka kunikosa hii ngoja niache maneno na nisema ninachotaka kusema. hakika umependeza kweli..kheri sana kwa mwaka mpya nawe pia Edna..pia shemeji.