Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 27 December 2011

Little Girl Is Upset With The Way Toys Are Marketed...Check this out i bet you gonna love it.


“The companies that make them try to trick the girls into buying pink stuff instead of the stuff boys want to buy!
Heheee how lovely this little girl is...lOL Haka katoto kanavyojieleza vizuri utafikiri kako over 18.

1 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Sijaona video, kwani sinazo GIG za kutosha ili niangalie. Lakini kama ujumbe wa msichana ni kama ulivyoelezea, wewe Mwandishi- mwenzangu. basi huyo ni mtoto kweli!

Na tumpe hongera kwa kuwaza isi-kama kawaida lakini sahihi kabisa!

Kusema ukweli hamna tofauti katika mtoto wa kiume kwa wa kike. Wote ni wa tundu sawasawa. Na wote ni watoto tu sawasawa kwa wazazi wao.

Hayo mambo ya mirangi kadhaa kwa wakike ni upotoshi mtupu ili watoto wakike wajielewe hapo baadaye kama wao hawana akili ya kutosha na ni ni kama wa tu hata mbele za waume zao hapo baadaye ukubwani!