Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 5 December 2011

MKASI WITH MASOUD KIPANYA.


Wiki hii kipindi cha Mkasi kilikuwa na Mchora Katuni maarufu na pia mtangazaji wa Times FM,Masoud Kipanya.Kama hukupata nafasi ya kukitazama kwa wale ambao wako Tanzania,basi usipitwe na uhondo huo.Kitazame hapo juu.

1 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Edna sio waliopo Tanzania tu wafaidi hata mimi nimefaidi leo. Ahsante.