Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 9 December 2011

SIKU HAZIGANDI.


Miaka 8 iliyopita tulikuwa kama hivi,...Makongo High school hapo tulikuwa kidato cha sita.Hakuna shule ambayo nilisoma nikaenjoy kama makongo.Tuliishi kama Familia.Oooh Gosh i miss those beutiful  days.
Miaka kadhaa baadae tukawa kama ifuatavyo,lol..miaka inakimbia eeeh! it feels like yesterday.
.

Edna na wake..

Neema na wake
Alice na Yona, hawa walisoma darasa moja.
Veronica naye na wake

Cecy na Suleiman hawa pia walikuwa darasa moja.
Ni wengi wameoa na kuolewa lakini bahati mbaya sina picha zao.
MAY OUR GOOD LORD BLESS YOU ALL....2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nimependa jinsi ulivyozipanga hizo picha. Ni kumbukumbu nzuri sana kweli siku zinakimbia na sasa tunasubiri kwa hamu matunda..LOL

Goodman Manyanya Phiri said...

Hiyo.... shule kweli.....?


Au chuo kikuu cha ndoa...?

Makubwa! :-)