Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 21 December 2011

POLENI SANA WAKAZI WOTE WA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA MAAFA MAKUBWA YA MVUA ZINAZOENDELEA.

 Wakazi wa maeneo ya jangwani inasemekana ndio wameathirika  zaidi..
 Bara bara zimejaa maji madaraja nayo yamezuliwa na maji  .
 Maji yamezunguka nyumba.
Mvua zinazoendelea kwa sasa katika jiji la dar zimesababisha maafa makubwa kuna watu wamepoteza maisha,kuna waliopoteza  mali zao zikiwemo nyumba na mali nyingine nyingi.
Mungu na awaepushe na balaa hili ili muweze kuumaliza  mwaka 2011 vizuri.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mungu epusha janga hili ili tuumalize mwaka huu salama. Poleni sana ndugu zetu.

Goodman Manyanya Phiri said...

Haya sasa ni kama yale Katrina huko Amerika (sehemu kama sikosei San Franscico). Jamaani poleni sana!