Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 19 December 2011

SPANKING NEW BONGOFLAVAS IN TOWN.

 Hhmm CPWAA.


OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-NAI NAI.

3 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Mababu zake Michael Jackson walitokea huko Bagamoyo, sasa leo nimeamini kabisa baada ya kuona ile video (nadhani ya "CP").

Choreography yake ni ya kimataifa. Mziki nao ni mtamu... yaani hamna tofauti kabisa na vitu tungeviona vinafanywa nao hao wenzetu wenye kututoroka kwa utumwa.


Hongera sana, Tanzania (na kwako Mwanablogu-mwenzangu)!


Kuangalia ile video ["when u shake that body"] imenipa nafasi hadimu ya kujigamba kama Mwafrika!


(ILA NYIE WATOTO WENYE KUSHEKI DATI BODI ZENU MSITUMIE MADAWA YA KULEVYA SAWA????)

EDNA said...

Hahahaaa kaka Mnyanya umenichekesha sana nakunukuu"ILA NYIE WATOTO WENYE KUSHEKI DATI BODI ZENU MSITUMIE MADAWA YA KULEVYA SAWA????"
Umefanya sikuyangu iwe ya furaha.

Goodman Manyanya Phiri said...

Nami nashukuru, Mdogo wangu, kwani mara nyingi watoto wenye mapesa hawatuchukulii sisi tusiekuwa napesa kwamba tunaweza kuwapa wazo lolote lile la STRESS MANAGEMENT kumbe MONEY IS NOT EVERYTHING, Bwana!! IT IS DEFINITELY NOT KNOWLEDGE!!!