Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, 18 December 2011

ASANTE SANA BABA NA MAMA.

 Alianza huyu...
 Waliona niko mpweke sina wa kucheza nae wakanionea huruma,mara huyu akatokea (Tabitha) wacha nifurahi nilipopata wa kucheza naye.
 
 Baba naye akasema majike yametosha bwanaa! tutafute madume sasa,Mama akasema kweli mume wangu hawa nao wanahitaji kaka.Baada ya muda si mrefu akazaliwa Christopher.

Christopher wacha naye aanze kulalamika eti oh mbona wakina dada wako wawili na mimi nataka mdogo wangu,baba na mama wakaona isiwe shida naye akaletewa wa kucheza naye (Jackson).Na mchezo ukaishia hapo.Wadada wawili na wakaka wawili.

6 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

Muzidi kubarikiwa tu, nyie Watoto waWazee!

Mnapendeza!

2303 said...

Wow, kumbe wewe ni dada wa thabita Mfikwa, nice nimesoma naye chuo jamani.

Yasinta Ngonyani said...

kWELI mUNGU YU MWEMA. Wawili wawili kila mtu ana wake wa kucheza naye.

EDNA said...

@2303 yap mimi ni dada yake Tabitha.

Swahili na Waswahili said...

Mungu awenanyi daima,Wanyalu wanofu nyehhhh,mimi penda sana nyie,sasa nawe zamu yako da'Edna kuwaletea wajukuu!

EDNA said...

@Da Rachael sisi penda wewe sana pia.vanyanyalu twivanofu sana mweeeh.Wajukuu watakuja tu ucjali.