Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 9 February 2012

BARIIIIIDI.

 Was so happy to meet this girl again,we used to work together in Tanzania.So amerudi Sweden rasmi na baada ya kutua tu Sweden safari ya kwanza ilikuwa kuja kuniona.
 Sofia and I in Stockholm.
 Having some lunch.
 Kiswahili chake akiongea utacheka,but she is really trying.
Sofia na Nasir.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Edna umesahau kofia ndugu wangu:-) Hakika ni baridi na hivi theruji haianguki ndo baridi kwelikweli...

EDNA said...

Kweli nilisahau cha moto nimekiona.

Yasinta Ngonyani said...

Hahahahaaa, ulifikiri upo wapi ndugu wa mimi wewe? pole sana.