Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 7 February 2012

VAZI LA KITENGE LINAZIDI KUPANDA CHATI.

 Wadada wakiwa wamevalia vazi la kitenge.
Hapa likiwa limenakishiwa na kitambaa cha satini waoooh.
Siku za hivi karibuni vazi la kitenge limetokea kupendwa na watu na hata kujizolea  umaarufu duniani. Tumeshaona hata wasanii wakubwa ulimwenguni kama,Rihanna ,beyonce na wengine wengi wameonekana wamevalia.

3 comments:

Swahili na Waswahili said...

Halichiji vazi la kitenge dmwanakwetu,tena ukipata mshonaji,wapendeza hao Warembo wenyewe.

Yasinta Ngonyani said...

kama alivyosema da´Rachel ukimpata fundi hapa ndipo utaujua uzuri wa kitengo:-)

SIMON KITURURU said...

Ila nyie Wadada mnapendezesha sana DUNIA yani msiache kabisaa kupendeza jamani!

Ni mie Mshabiki wa Wadada!