Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, 12 February 2012

SNOW!


Jacket kuuubwa,baridi mchezo.
Bongo wakiwa wanateseka na jua sisi tuteseka na barafu.

Nikiwa njiani kueleka mahali ambapo wakati wa summer huwa tunaita beach.


Siyo Yesu peke yake alitembea juu ya maji hata mimi,hahahaa can you imagine nipo katikati ya bahari.Huwezi amini wakati wa jua huwa tunaogelea hapa,lakini kwa sasa ndio kama hivi.Gosh.
Nawatakia mwisho mwema wa wiki.


2 comments:

Anonymous said...

Yesu alitembea juu ya maji na wewe unatembea juu ya snow...haha...wewe unatembea kwenye solid state of water and Jesus walked on fluid state of water of course there is biiii...iig difference.

Yasinta Ngonyani said...

Kweli ni baridi. Na ndio nimesikia wengi wakisema kuna jua kali sana hasa Dar kwa mtindo huo afadhali ya baridi kuliko jua maana baridi utavaa nguo za kufaa lakini jua ...naamini umekuwa na mwisho mzuri wa wiki:-)