Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 21 March 2012

HAPPY BIRTHDAY TO ME!

Well...sina la zaidi zaidi ya kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipendelea na kuniongezea mwaka mmoja zaidi,wazazi wangu kwa kunilea kunisomesha na kwa kunivumilia kwa yote,mume wangu asante kwa kunipa matumaini pale ninapokata tamaa.Ndugu zangu asanteni kwa ushirikiano wenu,marafiki asante kwa kuwa nami pale nilipohitaji msaada wenu ,na bila kuwasahau mablogger wenzangu wote, kupitia ninyi nimejifunza mengi sana.
GOD BLESS YOU ALL.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

HONGERA SANA KWA SIKU HII TUKUFU NA MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKULINDA NA KUKUJALIA MAFANIKIO KWA KILA JAMBO UTENDALO. HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA EDNA!!

Rachel siwa Isaac said...

Hongera sana Mwanakwetu kwa kongeza mwaka,Mungu akulinde na kukutunza katika Yote!Uwe na wakati mwema leo na sikuzote.Mimi penda wewe mwaego.

emu-three said...

Mungu akuzidishie miaka mingi mingine yenye baraka na fanaka...mpendwa