Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 18 April 2012

ENZI ZA MWALIMU USAFIRI WA WABUNGE.

MAANDISHI YANASOMEKA HIVI.....
Baadhi ya wabunge wakijiandaa kuondoka mjini Dare es salaam jana kwa basi kwenda Dodoma kuhudhuria kikao cha bunge kinachoanza jumanne.Miongoni mwa wabunge hao walioondoka kwa basi la kampuni ya mabasi ya Pwani Tours,ni Naibu wa spika,chifu Stanilaus Kasusura aliyesisima mlangoni akiagana na mwenyekiti wa kampuni hiyo ya mabasi,Ndugu Isaac.Hiyo ilikuwa mwaka 1984

5 comments:

Sara Gau Goloka said...

nimeipenda sana hii,naona irudishwe tena kwenye system

Sara Gau Goloka said...

ciesser plech

Anonymous said...

Sio mbaya Lakini ikitokea Ajali itakuwaje

emu-three said...

Ingepunguza sana gharama za serikali, na vinginevyo , kwanini wabunge na hata mawaziri wasiwe na mgari ya bei rahisi, kama anahitaji la bei mbaya atumie mfuko wake....ili isionekana siaisa ni sehemu ya kukimbilia.

Rachel siwa Isaac said...

Nimatumaini yangu mpo salama, ila bithe mingi,kila lililojema na tumekumiss.................Mwanakwetu!Pamoja daima.