Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 18 April 2012

UMESHAWAHI KUONA HII WEWE?

Huitaji kuwa na nyumba ya gharama kuwa na kiyoyozi.

Hahahaaa hii ni noma.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kaazi kwelikweli...ama kweli huhitaji nyumba ya gharama hasa ukiwa mbunifu

EDINA J KIBOMA said...

Wajina hii ndo mara ya kwanza kuona huu ubunifu.
Ila kuna umeme hapo?

EDNA said...

Da Yasinta wanasema raha jipe mwenyewe.

Wajina EDINA J KIBOMA yaani huo ni ubunifu wa hali ya juu,na asante kwa kutembelea kibarazani kwangu.

chib said...

Th teh teh! Nimeipenda hii

Anonymous said...

Jamani huo ubunifu mnaouongelea mbona kama vile hauwezekani. Nyumba ya nyasi hawaweki umeme, sasa hicho kiyoyozi kinaendeshwa kwa nguvu za nini? Au kinatumia mafuta ya taa?

Hii inanikumbusha miaka ya 90 mitaa ya Kiwalani kulikuwa na kibanda, hakina umeme lakini juu yake kuna bonge la Dish fake. Mtu akipita anaweza kusema jamaa anafaidi kuangalia TV na kumbe anazuga tu!