Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 29 May 2012

BRAND NEW VIDEO....SHETTA FT DIAMOND,NIDANGANYE


Nimependa maneno ya huu wimbo,kuna wakati unaweza ukaona ni kheri ukiambiwa uongo kuliko ukweli ilimradi tu usiiumize nafsi yako.Hili labda huwa linajitokeza sana ukiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi,unaweza kusikia kuwa mpenzi wako ana mtu mwingine roho ikakuuma na kuamua kumuuliza mpenzi wako kwamba yanayosemwa ni kweli? Nadhani akijibu NDIO  moja kwa moja utaumia zaidi kuliko akikudanganya na story za sungura na fisi.Ila binafsi ningependa kuambiwa ukweli sababu najua nitaumia kwa muda then maumivu yataisha na maisha yatasonga mbele.

2 comments:

emu-three said...

Mhh,uwongo wa ukweli unakubalika.Basi mimi nitakudanganya ukweli, nakuja kwako nakuambia,leo mpenzi wangu au mke wangu nimefumaniwa...hapo nakudanganya,...na wewe wanijua kabisa kuwa ni Mr clean....!

Yasinta Ngonyani said...

Ndiyo! unaweza kudanganya lakini ikaja mwisho wa siku ukakamatwa.