Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 30 June 2012

Maonyesho ya Business development Gateaway yakamilika leo.

 Dada Mary wa Malaki Enterprises kutoka Mkoa wa Ruvuma akimpa maelekkezo moja ya wageni walotembelea banda lake ,leo Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.JPG
 Fatma Kange akitoa maelezo juu ya umuhimu wa bar codes katika bidhaa za Tanzania kwa Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda.
 Bidhaa za Soya kutoka Gemji Home Bakery Healthy Bread zkiwa zimehifadhiwa katika viwango vya juu kabisa..
.
 Baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa hapa nchini na wajasiriamali wetu,pichani ni kazi zinazofanywa na TAN art enterprises ya Dar es salaam..
Ras Mizizi wa kikundi cha Wa Asili Asili akitoa maelezo kwa Mh. Waziri Mkuu, ndugu Mizengo Pinda juu ya utengenezaji wa bidhaa za ngozi,katikati ni mwenyekiti wa TPSF Mama Esther Mkwizu.

PICHA NA MAELEZO NIMETUMIWA NA ADAM WA BLOG YA MKONO WANGU.

0 comments: