Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 27 June 2012

DUUH! WATANZANIA NDIO TUMEFIKIA HAPA?

 Dk Ulimboka kabla ya kutekwa...
HIVI NDIVYO ANAVYOONEKANA BAADA YA KUTEKWA NA WATU WASIOJULIKANA.

Habari zilizotufikia lisaa lililopita zinahusiana na kutekwa na kujeruhiwa kwa Dk Stephen Ulimboka, kiongozi wa mgomo wa madaktari ambaye alitekwa asubuhi hii na baadae kuokotwa akiwa hoi!
Kutoka chumba cha ICU, huu ni ujumbe uliotumwa na mmoja wa wanaoshuhudia, matibabu yake:
"...hali ya Dr.Ulimboka yuko unconscious, multiple ribs fracture na kwenye mikono pia amevunjika pamoja na taya, yuko icu wanamstabilise kwanza kwa sababu hapumui vizuri, the situation here is really bad".

Habari na picha ni kwa hisani ya ya blog ya mdimu.

3 comments:

emu-three said...

Aisee, mimi ni Mtanzania lakini mimi huko sijafika, bado nipo hapahapa Bongo.
Huu ni unyama, sasa itakuwaje, jamani, maana madakitari wamegoma,..ooh, atatibiwa na nani? najiuliza tu.
Huu kwa ujumla ni udikteta, kama waliofanya hivyo lengo lao ni kumziba mdomo asiteteehaki,basi ajue ndio anampandisha cheo.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

ndio tulipofikishwa na 'viongozi' wanaofikiri kwa matumbo na masaburi!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Aise hii inatisha na inasikitisha sana ..yaani imefikia mpaka hapa..Namwombea kwa mungu hali yake iwe nzuri...