Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 3 July 2012

BEAUTIFUL DAY!

 Summer ya mwaka huu hailewekieleweki mara jua mara mvua,lakini leo limewaka jua hadi raha.
 Mimi kitaani.
 Lady in pink.
 Funny huh!
 Tunapanda mlima kitonga lol...
 Hatufiki tuu bana! mie nishajichokea.


 Huyu binti pembeni yangu anapenda picha balaa,alinipa kibarua kisicho na malipo,kila mahali yeye anataka apige picha.
Na siku yetu ikaishia hapo.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli huwezi kuamini juzi limvua hiloooo jana kulikuwa kuwa tu na leo kweli watu tumakapata kavitamini kiduchu...mmependeza wenyeweeee

emu-three said...

KWELI lady in pink umependeza jirani yangu, sio utani.
Na hapo chini naona unampa jamaa wakati mgumu, maana anataka akulalie kimgongomgongo wewe unamkwepa...lol

Sara Gau Goloka said...

looking so gud