Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 4 July 2012

Kongmano la Katiba.

 Dk.Harrison Mwakyembe ,Mwenyekiti wa kongamano la Katiba akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mh. Joseph Sinde Warioba.
 Hassan A. Haji kutoka ofisi ya Mwanasheria Mkuu ZNZ (TUME) akijibu baadhi ya hoja zilizoletwa na wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu.
 Mh.Joseph Sinde Warioba akifunga Kongamano la Katiba lililoratibiwa na TAHLISO.
 Naibu Katibu wa tume ya mabadiliko ya katiba akifafanua Nd.Casmir S. Kyuki akisisitiza umuhimu wa vijana wasomi katika mchakato huu wa Katiba
Wanafunzi kutoka vyuo mbali mbali wakifuatilia kwa umakini hoja mbali mbali kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

HABARI NA PICHA NIMETUMIWA NA ADAM MZEE.

1 comments:

emu-three said...

Oooh waziri mkuu mstaafu, naona mwili unakwisha sizani kuwa ni uzee....hii ni hazin tusiipoteze haraka, ....