Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 20 July 2012

HII NDIYO KAZI YA MIKONO YANGU MKULIMA MIMI KWA KIPINDI HIKI CHA JUA..

 Njegere.....Zimeshazaa nasubiri zikomae nivune.
 Viazi
 Viazi vikiwa tayari kuvunwa,
 Mahindi na majani ya maboga kwa pembeni.

 Beetroot( hii sijui inaitwaje kwa kiswahili.
 Njegere na vitunguu kwa pembeni.
Nyanya zikihudumiwa na mkulima wa ukweli hahaaaa.
l
Bwana mkubwa akisafisha shamba.

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kumbe wakulima tupo wengi safi sana ...Nimeipenda bustani yako ..

EDNA said...

Da Yasinta uje tusaidiane kuvuna.

Yasinta Ngonyani said...

Unafikiri unahitaji kunikaribisha ? NAKUJAAAA

ray njau said...

@Edna;
Hakika jasiri ni jasiri siku zote na asili yake ndiyo maisha na mafanikio yake.Hongera sana!

ray njau said...

Hakika huu ni ukulima makini na wenye tija kwa jamii.

ray njau said...

Hongera kwa umahiri katika kilimo nasi nduguzo twakutakia mavumo mazuri masika,vuli na kiangazi.

ray njau said...

Kilimo ndiyo uti wa mgongo na kila mwenye nafasi aitumie vema.Mazao mema kiangazi,vuli na masika.

emu-three said...

Tutakuwa wageni wako karibuni, mwambie bwana mkubwa kabisa kuwa una wageni karibuni....