Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 28 July 2012

TARATIBU ZA UENDESHAJI MAGARI NA PIKIPIKI HAZIFUATWI MJINI DAR ES SALAAM Utaratibu wa kuendesha vyombo vya barabarani umezidi kukiukwa kama picha zinavyoonyesha hapa mjini Dar Es Salaam.
Je vyombo husika vipo wapi?

PICHA NA HABARI NIMETUMIWA NA ADAM MZEE.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Duh hapa kaaaazi kwelikweli, Hivi huwa hawa wote wanapata leseni kweli?

emu-three said...

Hii ni kweli hatuna amani za hizi pikipiki maana unaweza ukashangaa inapita kati kati ya miguu!