Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 20 July 2012

Rais na ugeni leo Ikulu.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Askofu Elisha Buberwa wa Kanisa la KKKT, Kagera, aliyefika kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe aliopewa  na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundiu  Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi leo July 19, 2012  Ikulu  jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais na Mtendaji Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Pathfinder International alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012.

PICHA NA MAELEZO NIMETUMIWA NA ADAM MZEE WA BLOG YA MKONO WANGU.

0 comments: