Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 10 July 2012

WASIKILIZE WANAKIGOMA WAKIKUAMBIA" LEKA DUTIGITE"
Binafsi nimeipenda hii combination maana wote ni wakali.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

pia nimewakubali sauti zao zinapatana sana:-)

Simon Kitururu said...

Yeah!Nimekubali ngojea nitafute chumba!:-)

emu-three said...

Naona wanakigoma wamejaliwa na sauti za kuimba,..tupo pamoja!