Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 26 November 2012

R.I.P SHARO MILIONEA.

HABARI  za kusikitisha na kuaminika zilizo tufikia hivi punde na kuthibithishwa na Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe  ni kwamba msanii mahiri wa uchekeshaji na mwanamuziki wa Bongo Fleva Sharo Millionea amefariki katika ajali ya gari kijiji cha Maguzoni Songa, Muheza mkoani Tanga ambapo pia ni nyumbani kwao. Tutaendelea kuwajulisha kadiri tutakavyopata habari zaidi.


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

pumzika kwa amani Mungu alitoa Mungu ametwaa na jina lake lihidimiwe. Tutakukumbuka daima!!!

emu-three said...

R.I.P Sharobaro