Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 4 April 2013

NEW BLOG IN TOWN.....NDUGU WAPENZI WASOMAJI NA BLOGGERS WENZANGU NAOMBA UPATAPO NAFASI UPITIE KWENYE HII BLOG MPYA KUNA MAMBO MENGI MAZURI YA KUJIFUNZA.www.kamotta.blogspot.com

Fahamu faida za matunda haya kwa ubora wa afya yako.

                                                  www.kamotta.blogspot.com

Kuna faida nyingi za kula matunda licha ya kupenda ladha tamu za  matunda tunayokula. Matunda yana virutubisho vingi ikiwa vitamin A na C hupatikana kwenye matunda mengi ukilinganisha na virutubisho vingine vilivyopo kwenye matunda mengine.
Matunda husaidia kupunguza matatizo ya moyo( heart diseases ), stroke ( kiharusi ), shinikizo la damu ( blood pressure ), cholesterol, aina mbalimbali za saratani (cancer ), matatizo ya uwezo wa macho kuona na mengine mengi.
Matunda yote yana manufaa kwa miili yetu lakini napenda ujue haya machache kuhusu faida za apple, parachichi, ndizi, zabibu, embe, chungwa, papai na nanasi. Matunda haya niliyoyataja huwa tumezoea kuyala lakini naamini wengi wetu hatujui sana kuhusu ni vitu gani tunanufaika kutokana na kula matunda haya.
Zijue faida za matunda.....

1 comments:

emu-three said...

Tutapita mpendwa, twashukuru kwa kutulengeshea huko, kwakweli anajitahidi sana, tupo pamoja naye