Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 29 March 2013

JAMANI KUNA VITU VYA KULIPUA,LAKINI SI UJENZI WA NYUMBA YA KUISHI WATU AU GOROFA KWA AJILI YA BIASHARA.THAT SO CALLED MKANDARASI WHAT WAS HE THINKING?

Imetokea leo hii dakika chache zilizopita Morogoro Road na Indira Gandhi (City Centre - Dar), Inasemekana Watu wapatao 60 walikuwepo ndani yake.. watoto wa Madrassa walikuwemo katika jengo hili na pia mpaka sasa maiti zilizoopolewa ni 14 na majeruhi zaidi ya 30 wamekimbizwa hospitali, Bado pia kuna baadhi ya watu hai ndani yake.

Jitihada za uokoaji zimeanza kufanyika, Waziri Nchimbi tayari amekwishafika eneo la tukio mpaka sasa japo kuna uhaba wa vyombo vinavyostahili kushughulikia hali hii.Hili wala si tetemeko la ardhi wala nini,BALI NI UJENZI USIO NA VIWANGO (CHEAP)
Watu wasio na hatia wamepoteza uhai kwa ajili ya uzembe wa makandarasi uchwara. Na hii si mara ya kwanza kwa majengo kudondoka.
PICHA KWA HISANI YA BLOG ya www.kapomaclan.blogspot.com

0 comments: