Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 21 December 2009

2009 haukuwa mwaka mzuri kwa HOLLYWOOD.


Mwaka 2009 haukuwa shwari kwa Hollywood kwani stars wengi wameaga dunia,Miongoni mwao ni Patric Swayze,Michael Jackson the king of pop na hivi jana tuu hollywood imempoteza star mwingine Brittany Murphy.
Actress Brittany Murphy amefariki jana asubuhi kwenye majira ya saa 10:04,kifo chake kilikuwa ni cha ghafla,Brittany amefariki akiwa na umri wa miaka 32,Murphy Movie alizoshiriki ni clueless,Dont say a word,na 8 miles.She will be greatly missed,may her soul rest in Peace.

0 comments: