Huenda mamia ya wasafiri wanaonuia kufika Afrika Mashariki wakakosa kusherekea Krisimasi na wapendwa wao baada ya safari za ndege katika uwanja wa kimataifa mjini Nairobi kusimamishwa majira ya usiku.
Maafisa nchini Kenya wamesema safari hizo zimesimamishwa kwa sababu ya tatizo la umeme katika eneo la kutwaa ndege.
Tatizo hili limevuruga shughuli nyingi kwa sababu ndege kutoka bara Ulaya huwasili jinini Nairobi majira ya usiku.
Uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta mjini Nairobi hutumika kama kiingilio cha pekee kanda ya Afrika Mashariki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment