Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 21 January 2010

Jamani Hii ni Haki Kweli!!


Tunakoelekea sasa siko kabisaaa,Yaani mwili wa Mtoto unatumika kwa Matangazo?....Poor baby.

4 comments:

Simon Kitururu said...

Hii nayo kali!:-(

Yasinta Ngonyani said...

Kazi kwelikweli!!

John Mwaipopo said...

ushasikia wimbo Dunia Msongamano? huu ndio msongamano wenyewe. tumesongamana mno na kila mmoja ana ubongo ambao haujasongama na mtu mwingine. kazi ipo, au?

chib said...

walevi tu (simaanishi wanywaji) ndio wanaweza kufanya hivyo :-(