Kuna msemo wa kiswahili usemao Maji hufuata mkondo.......Watoto hujifunza mengi kutoka kwa wazazi wao na baadae hufanya yale ambayo wamekuwa wakiona wazazi wao wakifanya yawe mabaya au mazuri .Hili limejidhihilisha kwa Mtoto wa Will Smith, Jaden Smith Ambae anaonekana kufuata nyayo za baba yake.This little boy is doing pretty good, huenda siku za usoni akamfunika hata baba yake.I have seen the Trailer of KARATE KID Jamani huyu mtoto balaa...
Wednesday, 24 February 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Unadhani baba yake alimtaka awe kama yeye ama ni mtoto aliamua?
Si tunashuhudia wazazi wetu wa kibongo wasivopenda kufuatilia vipaji vya wana wao na kuviendeleza?
Si yawezekana hata wewe Edna ukawa umesoma kile ambacho baba na mama yako walikuaminisha kuwa ndicho bora ama ndicho ambacho kitakufanya UTOKE?
Kweli Kaka Chacha Wazazi wetu mara nyingi hutaka tufanye yale watakayo,na sio kile ambacho watoto wanataka kufanya....Effects zake huwa na both sides Positive na negative.
Hivi sijui kwa nini ni hivi eti hawafikirii kuwa ni mtoto anataka kufanya nini wao wanaamua tu kuwa awe kama mimi awe kile mimi nilitaka kuwa lakini nimeshindwa.
Post a Comment