Hivi ni kweli asilimia kubwa ya wanawake wanaongea sana? Nimekuwa nikisikia nakuona wanaume wakisema usithubutu kubishana na mwanamke bwana, wewe ukiongea maneno mawili yeye tayari kashaongea kumi.....Sasa ni nini husababisha wakaongea sana? au nikuto kujiamini tunatumia maneno kama defensive mechanism? Wanaume tujuzeni maana huenda ndio mnajua zaidi udhaifu wetu katika hili.
Tuesday, 6 April 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
Edna, kwani baba watoto anasemaje kuhusu weye?...lol
Muulize utapata jibu.
As to why: nadhani akili za wamama/wadada zinafanya kazi mara 2 zaidi ya wababa/wakaka inapokuja suala la hoja...lol
Hhahah Chacha wewe! hajasema kitu ameguna tuuuuu, sasa sijui amemaanisha nini.
pengine amemaanisha kuwa weye ni chiriku....lol
Post a Comment