Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 19 April 2010

The World's Youngest Tattoo Artist.

Ruby Dickinson mtoto mwenye umri wa miaka 3 kutoka Uingereza huenda akawa ndiye mchoraji Tattoo mwenye umri mdogo kuliko wote Duniani .Ruby hufanya mazoezi ya kuchora Tattoo kwa kuangalia kazi za baba yake mara tu anaporudi kutoka shule ya chekechea ....Baba yake amemuahidi kumununulia vifaa vya Size ndogo kama zawadi ya siku yake ya kuzaliwa october ambapo atatimiza miaka 4.Blane Dickinon 36 anasema anajivunia kuona biti yake anafuata nyao zake.Like Father like Daughter how nice.

2 comments:

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Ameahidi hivo kwa kuwa anaona binti ana kipaji.

Ni mara ngapi tume watoto wetu kupata ama kusmea kile wanachokipenda?

matokeo yake tukawalazimisha kupata/kusomea vile ambavyo tunasoma/tumesoma siye wazazi wao?

chib said...

Chacha umenena. Utakuta wazazi wanamkomalia mtoto ati lazima awe pilot au sijui nini kwa sababu wao wananona ni kazi ya sifa, au kipato wakati mtoto anahusudu kukata mananasi na kulima maua!