Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 20 April 2010

JE WAJUA KUWA MAHALI UNAPOISHI INAWEZA KUWA SABABU YA KUMKOSA YULE UMPENDAYE?


Tatizo kwetu Mbagala ukaona Mapenzi siwezi,Anaitwa Diamond ni kijana anayekuja kwa kasi ya hali ya juu katika muziki wa Bongo flava....Nakutakia kila raheli, kaza buti usilewe sifa.BIG UP.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Edna! ahsante sana kwa ujumbe huu! nilikuwa sijamsikia mwanamziki huyu, anaimba kweli unajua kuyaweka maneno vizuri.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Da Edna: Nikifuata kichwa cha habari, nadhani ni ujinga kabisa kukosa umpendaye kwa sababu eti sehemu unayotoka/kukaa haifai.

Nasema ni ujinga kwa kuwa ukimpenda mtu hata kama uko namna gani utampata tu.

kama msichana anapenda mtu ambaye ana nafasi ktk jamii basi hapo hakuna upendo, ni ile mambo ya 'hapendwi mtu hapo, pochi tu'

Na mkaka/mbaba atakayeshindwa/kuogopa kumtokea mdadada/mmama ati kwa kuwa anatoka eneo duni/ama ni masikini hata kama amemchunuku ni USHAMBA/UJINGA.

Huko ni kutojiamini kwa kiwango kikubwa tu.

EDNA said...

Da Yasinta ni kweli kijana anaimba.
kaka Chacha mapenzi ya kweli yalikuwepo enzi hizo na si sasa, siku hizi mapenzi ni pesa.