Wednesday, 29 December 2010
MMMMMH HUU NAO NI UGONJWA!
Ulimwengu wa sayansi na technologia umetufanya tumekuwa watumwa ,kuna watu wanaweza wakatumia masaa zaidi ya 12 kwenye computer bila kula au hata kufanya shughuli nyingine yoyote,iwe kwa matumizi sahihi au kinyume na hapo...Ni kweli kuwa ulimwengu wa sasa mambo mengi yanafanyika kwa kutumia Computer,Lakini inatubidi pia tufikirie na madhara ambayo yanaweza kutokana na Computer....Mimi napenda computer lakini si kwa kiwango hiki....HUU NI UGONJWA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
mie nipo addicted sana na computer lakini sijafikia kiwango hiki
Uwiiiii! hakika huo ni ugonjwa. Yaani hawezi hata kujisaidia. Kaaazi kwelikweli!!!
Kila kitu huhitaji kiasi, ukizidisha ni ugonjwa!
Post a Comment