Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, 9 January 2011

BEAUTIFUL DAY!


God have Mercy on us, what a beautiful day.....

Nikitembea kwa makini ukifanya mchezo unakula mueleka bila kupenda.....
Hali ya hewa ya leo kwa kweli ilikuwa inaridhisha, licha ya kuwa ilikuwa +1 tuu, but it`s better than -15....lol...

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

umenichekesha kweli sijasikia hilo neno kula mweleka siku nyingiiiii. Ila mie nimekuwa kitandani siku nzima hali yangu si njema....

emu-three said...

Poleni sana, unanikumbusha yule jamaa aliyejikojolea wakati anajaribu kutafuta nanihii...kwasababu ya baridi kila kitu kinaona baridi , sasa mkojo umebana, mmmh, ikawa shughuli,kufungu makoti, na kumtafuta jamaa alipo, mwisho akajikuta kajikojolea...baridi bwana sio mchezo

EDNA said...

Hahahaaa Emu-3 acha vituko,
Da Yasinta pole sana nini tena mama?

Simon Kitururu said...

And a very beautiful LADY katika PICHA that makes the day even more BOMBA yani ile BABU KUBWA kinoma yani!:-(