Masikini mama wa watu......
Watanzania si kila jambo lazima tutumie mabavu ili tuweze kulitatua, kuna mambo mengine wala hayahitaji nguvu.....najiuliza ni kosa gani kubwa huyu mama amefanya mpaka astahili adhabu hii? ameiba? hapana, ameua? hapana.... kosa lake ni kufanya biashara eneo ambalo limepigwa marufuku...sioni uwiano wa adhabu aliyopewa na kosa lake. Itafikia kipindi watu watachoka huu uonevu na wataamua kujichukulia sheria mikononi........Mungu ibariki Tanzania.

3 comments:
inasikitisha sana wangu sijui kama tutafika huo ni udhalilishaji
Hii ndio Bongo, sasa hivi giza totoro, watu kimyaa..lakini `uongozi' unavyopigiwa debe hutaamini..Jamani tunatakiwa tuwafanye hawa watu wenye uchu wa madaraka, wakione hicho kitu `moto'.
Kwa mfano sasa hivi tatizo la umeme lingepewa kipaumbele, kila gazeti, kila kona, `tunataka umeme..' Wao wameshapandisha bei, na bado umeme hakuna, ...my God! sasa ona wanavyozalilisha watu, kwasababu hawaoni umuhimu wa watu waliowapa hiyo kula wanayoiringia!
Mh, hapo kazi ipo.
Post a Comment