Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 19 October 2012

CONGRATULATION MY DEAR FRIEND REHEMA,YOU FINALLY MADE IT.

 Rehema tulisoma wote Makongo high school back in 2004( HKL) darasa lililokuwa likiongoza kwa fujo Makongo nzima.LOL
 Pendeza sana rafiki,...hahaaa nakumbuka enzi zile tukipewa adhabu ya kuchimba mashimo kwa kosa la kupiga kelelena darasani.
Nakutakia kila lililo la heri mdada na karibu sana kwenye chama kubwa la wanandoa.

 So cuteeeeee.
 Nimekubali kuwa mali yako.


2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana, wote mmependeza sana. Kaeibu katika maisha ya ndoa. Mwenyezi Mungu awalinde na wazidishie upendo ndani yenu.

emuthree said...

Ndoa ni nusu ya dini