Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 22 October 2012

DEREVA AINGIZA BUS MTARONI KISA NYIMBO ZA CCM ZINAMKERA

 Basi lililokuwa limewabeba wanachama wa CCM ,linavyoonekana baada ya ajali hiyo.
Katibu wa NEC,akimfariji mmoja wa majeruhi waliokuwa kwenye bus ambalo ajali yake imesababishwa makusudi na dereva ambaye aliwaambia yeye Chadema na asingependa kusikia nyimbo za CCM

PICHA NA MAELEZO NIMETUMIWA NA ADAM MZEE.

1 comments:

emu-three said...

Haya ndiyo yaliyojaa moyoni mwetu, mafundo ya chuki, ...yamejificha,yakipata nafasi inatokea hivyo!