Forum
 mpya inayokua kwa kasi Afrika Mashariki – Filosofa Forum 
- sasa imepewa
 sura mpya yenye mvuto. Pamoja na kung’arishwa forum imeongezewa uwezo 
(functionalities) ili kuwawezesha wapenda hoja kuitumia kwa urahisi na 
ufasaha.
Pia
 timu inayoendesha mtandao huu inawashukuru wale wote ambao tayari 
wamejiunga na zaidi wale wote ambao wamekuwa wakitoa na kuchangia hoja 
mbalimbali.
Karibu uelimike na kuelimisha wengine.
Tanzanians are already waiting for Kenyans now.
G Mboya
Contributor





0 comments:
Post a Comment