
It is 8 March.. which means that today we celebrate the International Women's Day. I'd like to wish all women all the best, and we invite men to celebrate this day with women in their families.Haijalishi umetoka nchi gani,rangi gani,dini gani,tajiri au masikini,mwembamba,mnene wote ni sawa kwa pamoja tusherehekee siku hii maalum Duniani.
HAPPY WOMEN'S DAY!
3 comments:
Ni kweli kabisa tuna haki ya kufurahia hii siku. Wanawake wote Hoyeeeeee!!!
Oyeeeeeee!
Nimechelewa lakini-
HAPPYINTERNATIONAL WOMEN's DAY!
Post a Comment