Maji yalikuwa kila mahali watu walilazimika kuvuka na mitumbwi,...mwaka huu nafikiri kila kitu kilikuwa zaidi ya kawaida, wakati wa winter kulikuwa na snow nyingi kuliko kawaida,summer jua lilikuwa kali sana utafikiri lile la kwetu,na sasa mvua ndiyo hiyo.Wataalam wa hali ya hewa labda wanaweza kutusaidia mabadiliko haya husababishwa na nini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Ama kweli kuna mabadiliko, ni kweli kuna mvua mno na nasikitika kusema mvua hii imeharibu likizo yangu kwani tulipanga kwenda kupiga hema sehemu lakini sasa tupo tu inabidi tuanza kupanga upya. Men det är gott om kantarell och blåbärr i skogen:-)
Inabidi watu mkafanye manunuzi ya mitumbwi sasa.
Yasinta asikate tamaa, wanaweza kupiga camp ya mtumbwi, wakatia nanga haitachukuliwa na mkondo wa maji
Post a Comment