Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 28 August 2010

LOVELY WEEKEND!


My lovely lil sis Tabby

And the big sis of course,together we wish you fabulous weekend...kwa mbaaali tumefanana eheee...We all have big eyes.

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Edna kwanza nilizani ni wewe umetengeneza nyweli au vipi kumbe ni mdogo wetu duh! umefanana kweli kweli msalie sana na mwisho mwema wa juma pia mwezi ndo unakwisha hivi.

EDNA said...

nitamsalimia mdada siku njema na kazi njema.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

mmh! Edna una mambo.....ati mmefanana macho!!!

Yawezekana hata kucheka na tabasamu pia....lol!

Uwe na wakati mwema!

emu-three said...

Mhhh, kweli damu kali, mumefanana, nawatakieni weekend njema pia nyote

emu-three said...

Kweli mumefanana, mmmmh basi baadaye..

emu-three said...

Kweli mumefanana, mmmmh basi baadaye..

SIMON KITURURU said...

Macho mazuri sana hayo kwa kurembua!Na ni kweli mefanana