Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 5 November 2010

ADIMIKO!Napenda kuwataarifu wasomaji wa STRIVE FOR LIFE kuwa nitaadimika kwa kipindi kifupi, nitakuwa na mapaumziko kidogo pengine inaweza kuwa ngumu kupost.... Siunajua tena mambo ya mapumziko? hehehee Ila nikipata nafasi au uwezekano wa kupost basi nitafanya hiyo....Maana mmmmmh naona kama nitawamis sana vile.
Samahani kwa usumbufu wowote utakao jitokeza
THANKS FOR BEING PART OF THIS BLOG,LOVE YOU ALL AND HOPE TO SEE YOU SOON.

6 comments:

Adela Dally Kavishe said...

Jamani tutakumis sana Edna sawa my dia mapumziko mema ila uwahi kurudi

Yasinta Ngonyani said...

Mimi nimeshaanza kukumiss! Nakutakia kila la kheri na mapumziko mema sana na nasubiri hapa hapa:-)

emu-three said...

Ok ingawaje mapumziko ni muhimu, lakini ukiwa huko usiache kuchunguuliachungulia, mmmh tutakumiso

EDNA said...

Asante Adela,Yasinta,na Emu-three...Nitawamiss sana.

Upepo Mwanana said...

Tunakutakia mapumziko mema.

SIMON KITURURU said...

Mapumziko mema!