Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 12 November 2010

NIPO NYUMBANI TANZANIA.

Nimewakumbuka sana wajameni,nipo home ni joto balaa, ni mengi yanajili lakini nitawaabarisha nikirudi.Maana network inasuasua.
SIKU NJEMA KWENU WOTE

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Haya mtani endelea kufurahia nyumbani . Eti joto una bahati wewe hapo ile umetoka tu na theluji ikaanguka na leo eti mvua inanyesha na baridi baridi. Kila la kheri.

SIMON KITURURU said...

Siku njema kwako pia Edna!

emu-three said...

Upo nyumbani bongo, karibu sana, je tukutembelee wapi wajameni. Upo Dar, au wapi?

EDNA said...

Asanteni sana Yasinta, Simon,Emu_three.
EMU-THREE nipo DAR...Kamavipi yuwasiliane

chib said...

Karibu Afrika tena!